Jumanne 15 Septemba 2026 - 09:17
Kuizungumzia Neema Unayopewa na Mwenyezimungu

Hawzah/ Imam Musa al-Kadhim (as), katika riwaya, ameeleza kuwa kusimulia na kutaja neema za Mwenyezi Mungu ni ishara ya kumshukuru Yeye.

Shirika la Habari la Hawza, limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu cha «Wasā’il al-Shī‘ah».

Imam Musa al-Kadhim (as) amesema:

«التَّحَدُّثُ بِالنِّعَمِ شُکْرٌ وَتَرْکُ ذَلِکَ کُفْرٌ.»

“Kuizungumzia neema ni kumshukuru Mwenyezi Mungu, na kuacha kufanya hivyo ni kukufuru neema.”

Wasā’il al-Shī‘ah, Juz. 7, Uk. 40

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha